HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Abiria 257 waangamia leo kufuatia ajali ya ndege ya kijeshi

Takriban watu 257 wamefariki baada ya ndege ya kijeshi kuanguka kaskazini mwa algeria. waliofariki ni wanajeshi walikuwa wakisafiri na jamaa zao.
Kisa hicho kilitokea muda mfupi baada ya ndege hiyo kupaa kutoka uwanja wa ndege wa kijeshi wa Boufarik karibu na mji mkuu wa Algiers asubuhi ya leo.

Show More

Related Articles