HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Seneta wa Bungoma sasa amtaka Raila kuwania urais kupitia NRM

Kinara wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula anatazamiwa kuandaa mkutano mkuu katika eneo la Bungoma wikendi hii, huku akizidi kukumbwa na mawimbi yanayoyumbisha ndoto yake ya kisiasa.

Baada yake kudai kuwa ametengana na Raila Odinga kufa kupona, kwa sasa chama cha ODM kinadai kuwa yeye ndiye msaliti na hasidi kwani amegeuka na kuwa rafiki asiyeaminika.

Show More

Related Articles