HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtoto wa miaka 4 aliyenusurika kifo hajui wazazi wake waliko

Mtoto mwenye umri wa miaka minne pamoja na wengine wamesalia hospitalini bila kujua waelekee wapi wala wafanye nini baada ya wao kunusurika kwenye ajali ya Narok, huku wakiwakosa wazazi wao.
Vile vile baadhi ya miili haijaweza kutambuliwa huku iikibainika kwamba basi hilo la kampuni ya Daima Connections, lilikumbwa na hitilafu za magurudumu mara mbili kwenye safari hiyo iliyoishia mtoni.

Show More

Related Articles