HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge waanza shinikizo ugonjwa huo utangazwe janga kuu

Ugonjwa wa Saratani unazidi kuchangia pakubwa idadi ya vifo nchini huku maelfu ya wakenya wakizidi kulemazwa kiafya na kifedha .
Ni kutokana na hali hii ambapo mwakilishi wa wanawake kutoka kaunti ya Laikipia Catherine Waruguru anataka saratani kutangazwa kama janga la kitaifa na hazina maalum kutengwa kuwasaidia waathiriwa.

Show More

Related Articles