BiasharaMilele FmSwahili

Usimamizi wa JKIA watangaza kuongeza ada ya kuegesha magari

Usimamizi wa uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta umetangaza kuongeza ada za kuegesha magari kwenye uwanja huo. Kuegesha gari dogo kwa muda wa dakika 20 utahitajika kulipia shilingi 100,kuegesha gari kati ya dakika 20 hadi 40 utalipia shilingi 250 huku wanaoegesha magari kwa zaidi ya dakika 40 wakitakiwa kulipa shilingi 350. Hakuna gari litakaloruhusiwa kuegeshwa kwa zaidi ya saa 2.

Show More

Related Articles