HabariMilele FmSwahili

Mbunge Alice Wahome apendekeza kukaguliwa kwa baadhi ya maafisa wa idara ya mahakama

Mbunge wa Kandara Alice Wahome anapendekeza kukaguliwa baadhi ya baadhi ya maafisa wa idara ya mahakama, anaosema huenda wanatumiwa kuhujumu utendakazi wa serikali, bunge na taasisi zingine. Akiunga mkono kauli iliyotolewa na waziri wa usalama wa taifa dkt Fred Matiangi, mbugne huyo amesuta baadhi ya majaji kwa kutumia mahakama vibaya, na haswa wanapotoa maagizo ambayo hayaangazii uzito wa suala lililowasilishw ambele yao.

Show More

Related Articles