HabariMilele FmSwahili

Muungano wa maafisa wa kliniki kutoa ilani ya mgomo leo

Muungano wa maafisa wa kliniki utatoa ilani asubuhi hii ya mgomo. Mwenyekiti wa muungano huo Peterson Wachira anadai kuwa mazungumzo kuhusu mkataba wao na serikali yamenga mwamba. Maafisa wa kliniki waligoma kwa majuma mawili mwaka jana kulalamikia mwongozo wa mishahara uliotolewa na SRC waliodai uliwashusha hadhi na ikilinganishwa na majukumu wanayotekeleza.

Show More

Related Articles