HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Abiria 19 wafariki baada ya basi walimokuwa kutumbukia mtoni

Watu kumi na saba wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye mto Siyiapei kwenye barabara kuu ya Narok kuelekea Maai Mahiu.
Kulingana na kamishna wa kaunti ya Narok George Natembea, basi hilo lililokuwa likisafiri kutoka maeneo ya kendu bay kuelekea nairobi lilipoteza mwelekeo dereva alipojaribu kukwepa kugongana ana kwa ana na lori la mchanga.

Show More

Related Articles