HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kameme TV : Runinga hii inayomilikiwa na MediaMax imetimu mwaka mmoja

Runinga ya Kameme Tv moja wapo ya stesheni zinazomilikiwa na kampuni ya Mediamax na kutangaza kwa lugha ya Kikuyu imeadhimisha mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake Aprili 10 mwaka 2017.
Wafanyikazi wa Mediamax walijumuika pamoja kusherehekea mafanikio ya runinga ya Kameme kwa mwaka huo mmoja huku usimamizi ukiahidi kameme Tv itaendelea kuwafahamisha,kuwaelimisha na kuwaburudisha watazamaji wake katika miaka ijayo kama anavyoarifu Daniel Kariuki.

Show More

Related Articles