HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Julius Karno(Ole Menye) anagaagaa kama muigizaji chipukizi

Anajulikana kama Julius Karno ukipenda Ole Menye. Ni jamaa chipukizi kwenye uigizaji, kutoka kaunti ya Narok
Amejipa jina kaunti ya Narok kwa muda sasa. Kutokana na uigizaji huo, ambapo hurekodi video zake zinazoangazia masuala ya jamii, au vichekesho.
Wengi huenda wamemfahamu sasa kupitia wimbo wake, mpya wa Miguna Dance, aliourekodi wakati wa sakata ya Miguna nchini.
Kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hivii, Joab Mwaura anamwangazia Ole Menye.

Show More

Related Articles

Check Also

Close