HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge wa Jubilee kutoka Magharibi wawasuta Mudavadi na Wetangula

Umoja wa jamii ya Luhya ukipenda huenda ukasalia kuwa tu kama ndoto iwapo hali ya kisiasa katika eneo kuu la magharibi mwa Kenya itasalia kuwa ilivyo kwa sasa.
Baada ya muungano wa NASA kuonekana kuyumba yumba na vinara wake kutoka magharibi Moses Wetangula wa Ford Kenya na Musalia Mudavadi wa ANC, kugusia umuhimu wa kuunganisha wana jamii ya Luhya kwa sasa wabunge wa Jubilee kutoke eneo hilo wanapinga msukumo huo.

Show More

Related Articles