HabariMilele FmSwahili

Watu 4 wafariki katika ajali, Siyabei kwenya barabara ya Narok- Mai Mahiu

Watu wanne wamefariki kufuatia ajali iliyotokea eneo la Siyabei barabara ya Narok Mai Mahiu. Hii ni baad ya gari walilokuwa wakitumia kupoteza mwelekeo na kuingia kaitika mto. Kwa sasa juhudi za kuwaokoa watu wengine zinaendelea.

Show More

Related Articles