HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtu 1 afariki, familia 100 zaachwa bila makao, Baringo

Mtu mmoja amedhibitishwa kufariki huku mifugo zaidi ya 180 wakiangamia katika eneo la Eldume kaunti ya Baringo baada ya mto pekera kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku kucha.
Wakazi wa eneo hilo sasa wanaomba usaidizi kutoka kwa serikali ya kitaifa kuwawezesha kurejelea maisha yao ya kawaida.

Show More

Related Articles