HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wahadhiri Wadinda kurejea madarasani licha ya agizo la mahakama 

Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wameapa kuendelea na mgomo wao hadi pale mkataba wa makubaliano utakapotekelezwa na kusajiliwa mahakamani.

Wakiongozwa na Muga Kolale, Charles Mukhwaya na Constatine Wesonga wanasema wanasubiri pia mwelekeo wa mahakama baada yao kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kuwataka kusitisha mgomo.

Haya yakijiri huku Waziri wa Elimu balozi Amina Mohammed akikerwa na kauli hiyo na badala yake anawataka wahadhiri hao kuheshimu mahakama na kurejea kazini tayari kwa mazungumzo na wizara ya leba.

Show More

Related Articles