HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watahiniwa 62,851 kati ya 69,151 waliopata C+ kufadhiliwa na serikali

Japo wanafunzi wengi hawakufanya vema katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE mwaka jana, jopo linalosimamia uteuzi wa wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu na vyuo vya mafunzo hii leo limeweka wazi idadi kamili ya wanafunzi watakaojiunga na vyuo hivyo.

Cha kuvunja moyo hata hivyo ni kwamba kati ya wanafunzi elfu 213,600 waliopata alama ya D minus na E ni watahiniwa elfu 5,324 pekee ndio waliojisajili kujiunga na vyuo vya mafunzo.

Cha kushangaza pia ni kwamba chuo kikuu kimoja kinadaiwa kutomvutia hata mwanafunzi mmoja.

Show More

Related Articles