HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Yaya asakwa baada ya mtoto kusakamwa na kufariki,Bungoma

Polisi wanamsaka mwanamke mmoja aliyekuwa akifanya kazi kama yaya kaunti ya Bungoma anayedaiwa kushiriki kwa njia moja au nyingine katika kisa kilichosababisha kifo cha mtoto wa miezi minane kwa jina Christian Gabriel.
Kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotuarifu, kinyume na dhana ya wengi hapo awali kuwa yaya huyo alimuua mtoto huyo, imebainika kupitia matokeo ya uchunguzi wa kifo chake kwamba mtoto huyo aliaga baada ya kusakamwa kooni wakati akipewa maziwa .

Show More

Related Articles