HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mike Sonko adai kushinikizwa serikalini kumteua Naibu wake

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko anadai kuwa kuna makundi ya ukiritimba ambayo yanaingilia kati utendakazi wa serikali ya kaunti ya Nairobi na hata kumshurutisha kuhusiana na ni nani atakayemteua kama naibu wa Gavana.

Sonko kwenye mahojiano ya kipekee asubuhi ya leo na vituo vya radio na televisheni vinavyomilikiwa na kampuni ya Mediamax, amemtaja katibu katika wizara ya usalama wa ndani Karanja Kibicho kama mmoja wa wale walio na njama hiyo.

Show More

Related Articles