HabariMilele FmSwahili

Waziri mkuu wa Uigereza Teresa May apongeza rais Kenyatta na Raila kwa kuafikia kufanya kazi pamoja

Waziri mkuu wa Uingereza Teresa May amewapongeza rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga kwa kuafikia kufanya kazi pamoja. Katika ujumbe wake wa heri njema uliowasilishwa na balozi wa Uignereza nchini NIC Hailey baada ya kukutana na raila hivi leo, May amesema wawil ihao wamedhihirisha nia njema kaitka uongozi wa taifa hili. Aidha amewataka wakenya kuunga mkono ushirikiano huo.

Show More

Related Articles