HabariMilele FmSwahili

”Kenya imepiga hatua kupambana na Malaria”

Kenya imepiga hatua kupambana na Malaria. Mkuu wa mpango wa kupambana na malaria Dr Erjesa Waqo anasema kiwango cha malaria kimepungua kutoka asilimia 11 hadi asilimia nane chini ya miaka mitano iliyopita, eneo la Nyanza likirekodi kiwango kikubwa cha kupungua ugonjwa huo.
Anasema Kenya itaendelea kushirikiana na mataifa mengine ikiwemo Cuba kuweka mipango ya kukabili zaidi ugonjwa huu unaosababishwa na mbu.

Show More

Related Articles