Mediamax Network Limited

Bahati Aonywa Dhidi Ya Kumkaribia Rais Uhuru

Mwimbaji wa nyimbo za injili Kelvin Bahati aweka wazi aweka wazi kwamba alipigwa marufuku kumkaribia Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake Willium Ruto.
Aki tumbuiza katika Kaunti ya Kirinyaga mbele ya Naibu Rais willium Ruto, Bahati aliweka wazi haya na kusema
“Nowadays I can only wave to you from afar, I was told not to come near you during performances, but still, that’s okay. I’m still excited to sing in your presence and see you getting excited Bwana Deputy President,” 
Itakumbukwa kuwa miaka miwili iliyo pita Mtoto wa mama alizua kionja katika uwanja wa Kasarani alipo mwamsha rais Uhuru kenyatta na kukalia kiti chake.
hatua ambayo wengi wanadhania ndio iliyo changia marufuku hii.