HabariSwahiliVideos

IPOA wachunguza video inayoonyesha askari akidhulumu raia

Mamlaka ya huduma za polisi- IPOA-, imeanza kuchunguza kisa kuhusu kanda ya video iliyomnakili afisa mmoja wa polisi akimdhulumu jamaa mmoja eneo la viwandani jijini Nairobi.
Kulingana na video hiyo, afisa huyo wa kikosi cha polisi wa kawaida alikuwa anampiga jamaa huyo kiasi cha kumkanyaga na kumpa vitisho akiwa na bastola mkononi.

Show More

Related Articles