HabariSwahiliVideos

Ari na ukakamavu : Tunaangazia bidii ya Sammy Brayo msanii ambaye ulemavu sio hoja

Wengi wetu hulalamikia Maulana mara kwa mara  kutokana na changamoto tunazopitia maishani,lakini tafakari hili ,umezaliwa bila mikono miwili na unatumia mguu mmoja tu kutembea.
Hayo ndiyo yalimkumba kijana Sammy Brayo,ingawaje kijana huyu hakukubali hali aliyozaliwa nayo ya ulemavu kumzuia kutambua na kukuza talanta zake.kwa sasa Sammy Brayo ni mwimbaji,mchoraji,muigizaji na vilevile anacheza piano kwa mguu mmoja.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga naye na kutuandalia taarifa hii kwenye makala ya Ari na Ukakamavu.

Show More

Related Articles