HabariMilele FmSwahili

Madaktari wafanikiwa kutoa mswaki uliokwama tumboni mwa mgonjwa Mombasa

Madaktari katika hospitali ya Coast General Mombasa wamefanikiwa kuutoa mswaki uliokwama tumboni mwa mgonjwa mmoja. Dr Ramadhan Omar anadai mgonjwa huyo hakufanyiwa upasuaji wa tumbo ila aliingizwa pipu maalum ya tiba na kuondoa mswaki huo. Inadaiwa Charo aliumeza mswaki huo siku ya Jumapili baada ya kumteleza kiywani

Show More

Related Articles