HabariMilele FmSwahili

Wanafunzi 33 wanaswa katika basi lililokuwa na bangi na pombe

Wanafunzi 33 wanazuiliwa baada ya kunaswa ndani ya basi lililokuwa na misokoto ya bangi na pombe. Polisi wanasema minibasi hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Meru kuja hapa jijini Nairobi. Dereva na makanga wa basi hilo pia wamekamatwa.

Show More

Related Articles