HabariPilipili FmPilipili FM News

Madaktari Wafanikiwa Kutoa Mswaki Tumboni Bila Upasuaji

Baada ya kusumbuka kwa siku sita akiwa na mswaki tumboni alioumeza kwa bahati mbaya, sasa ni afueni kwa David Charo, baada ya madaktari katika hospitali kuu ya makadara kufanikiwa kuutoa mswaki huo bila kumfanyia upasuaji.

Madaktari wametumia mfumo wa kisasa wa kidijitali, ujulikanayo kwa kimombo endoscopy na kufanikiwa kuutoa mswaki huo.

 

 

 

Show More

Related Articles