HabariMilele FmSwahili

Mahakama kuu yaagiza kesi ya mauji dhidi ya Philip Onyancha kuskizwa upya

Mahakama kuu imeagiza kusikilizwa upya kesi ya mauaji dhidi ya Philip Onyancha. Jaji Philip Wakiaga amesema kuwa Onyancha hakuhukumiwa vyema. Onyancha alishitakiwa pamoja na Tobias Aradi na Doglas Makori kwa tuhuma za kuwauwa wanawake na watoto 19 katika maeneo mbali mbali nchini. Awali alikiri makosa na kuwaonyesha maafisa wa polisi palipofichwa miili ya waliouwawa kabla ya kukanusha mashitaka dhidi yake.

Show More

Related Articles