HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maafisa wawili wakamatwa Pokot wakisafirisha mbao

Maafisa wa kulinda misitu pamoja na wale wa kutoka katika wizara ya mazingira  katika kaunti ya Pokot hii leo wamewatia mbaroni maafisa wawili wa polisi wa utawala na raia wawili waliokuwa wakisafirisha mbao huku wakitumia lori la polisi wa utawala.

Hayo yanajiri huku Waziri wa Mazingira Keriako Tobiko akifika mbele ya kamati ya bunge la seneti kuhusu mazingira alikohojiwa kuhusiana na msimamo wa wizara ya mazingira wa kuidhinisha kujengwa kwa kiwanda cha kutengeneza sukari katika kaunti ya Kisii katika msitu wa Nyangweta.

Show More

Related Articles