HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos
Waziri wa elimu awataka wahadhiri kurejea vyuoni

Waziri wa Elimu Amina Mohammed amewataka wahadhiri kurejea vyuoni mara moja akisema kuwa mgomo wao sio halali.
Waziri amesema kuwa wahadhiri wanastahili kurejea vyuoni huku mazungumzo kuhusu utekelezaji wa mkataba kati yao na serikali kuhusu marupurupu yao ukifanyika.
Haya yanajiri huku wanadhiri na wafanyikazi wengine kwenye vyuo vya umma wakifanya mgomo jijini Nairobi.