HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkutano uliopangiwa kujadili kongamano la tano la ugatuzi watibuka

Mkutano baina ya kinara wa chama cha ODM Raila Odinga na  washikadau kwenye wizara ya ugatuzi pamoja na waakilishi wa baraza la magavana na wale wa kamati inayosimamia maandalizi ya kongamano la tano la ugatuzi uliofaa kuandaliwa hii leo ulitibuka.

Wengi walikuwa wanasubiri kuona Waziri wa Ugatuzi Eugene Wamalwa na Naibu mwenyekiti wa baraza la magavana Anne Waiguru jinsi wangeliwasilisha ajenda kuu kwenye kako hicho katika makao makuu ya NASA lakini kwa sasa mengi yamesalia fiche baada ya mkutano huo kutoandaliwa.

Show More

Related Articles