HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kenyatta asema hatafanya kazi na mawaziri wanaojinufaisha wenyewe

Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa mawaziri katika baraza lake dhidi ya ubadhirifu wa fedha zinazotengewa wizara zao akisema hatakubali kufanya kazi na mawaziri wala maafisa wa serikali wanaolenga kujaza tumbo zao huku wakenya wakiteseka.

Kwa maneno yake mwenyewe, Kenyatta amesema sasa amefunguka macho huku akiwatahadharisha maafisa wenye nia ya kufonza pesa za umma.

Rais Kenyatta ameyasema haya wakati wa kufungua rasmi kitengo cha matibabu ya macho na meno katika hospitali ya Tenwek kaunti ya Bomet.

Show More

Related Articles