HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya lita 5000 za changaa zanaswa msituni mjini Nyahururu

Zaidi ya lita elfu 5 za changaa zimenaswa msituni mjini Nyahururu. Polisi walioshirikiana na chifu wa eneo la Kiamana kulikopatikana pombe hiyo wanasema waliarifiwa na umma kuhusiana na msitu huo unaotumika kugema pombe hiyo. Oparesheni kali imekuwa ikiendeshwa eneo hilo baada ya kukithiri ugemaji pombe haramu

Show More

Related Articles