HabariPilipili FmPilipili FM News

Hospitali Za Kukabiliana Na Maradhi Ya Figo Kuongezwa Nchini.

Baraza la magavana linaweka mipango ya pamoja  na wizara ya afya kujenga Hospitali 4 kuu za ugonjwa wa saratani kufikia mwezi mei mwaka wa huu wa2018.

Hospitali 21 zaidi zitaboreshwa na kuongezewa vifaa ili kuongeza idadi  ya hospitali zenye uwezo  wa kushughulikia mardhi ya Figo.

Mpango huo ambao ni miongoni mwa ajenda kuu za serikali unalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata huduma bora za afya kufikia mwaka wa 2022.

Show More

Related Articles