HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wizara ya ardhi yazindua mfumo wa kuhifadhi data kidijitali

Waziri wa Ardhi Farida Karoney ameelezea matumaini makubwa ya kuboresha huduma katika sekta ya ardhi baada ya uzinduzi wa mfumo wa kuhifadi data kidijitali.
Karoney akizungumza na runinga ya K24, anasema kufikia mwishoni mwa mwaka ujao mfumo huo utakuwa umekamilika na  kuanza kutumika kote nchini.
Haya yakijiri wakati ambapo wakenya wanazidi kuzongwa na suala tata la ardhi haswa kutokana na ulaghai ambao umezidi kushuhudiwa tangu jadi.

Show More

Related Articles