HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mjadala wachacha kuhusu Pendekezo la Gathoni wa Muchomba

Pendekezo la mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Kiambu Gathoni wa Muchomba kwamba wanaume wenye uwezo katika kaunti hiyo waoe zaidi ya mke mmoja limepata uungwaji mkono kutoka kwa wengi baadhi yao wakisema kuwa bora mtu anauwezo wa kukimu mahitaji yao.
Baadhi ya wakenya wanahoji kuwa tatizo hutokea pale mwanamume hushindwa kukimu mahitaji ya wanawake aliojitwika huku wengine wakisema kuwa wanaume hasa wanaotoka kati mwa nchi wamedhalilisha mtoto wa kiume.

Show More

Related Articles

Check Also

Close