HabariMilele FmSwahili

COTU yahimiza majadiliano kutatua migomo ya wafanyikazi mbali mbali

Muungano wa COTU umehimiza majadiliano kutatua migomo ya wafanyikazi mbali mbali. Katibu wa COTU Francis Atwoli anatawaka wakuu wa miungano ya wafanyikazi na maafisa wa serikali kusahau misimamo migumu wanaposughulikia migomo. Amesema hayo huku mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu ukiendelea kwa zaidi ya majuma matatu sasa huku juhudi za kupata mwafaka zikionekana kugonga mwamba.

Show More

Related Articles