HabariMilele FmSwahili

Wito watolewa kwa rais na Raila kuweka bayana yaliyomo kwenye maafikiano yao

Wito unatolewa kwa rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga kuweka bayana yaliyomo kwenye maafikiano yao. Baraza la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali linasema ili taifa kuafikia uwiano kikamilifu kuna haja ya wakenya kufahamishwa faida ya maafikiano hayo.
Stephen cheboi mwenyekiti wa baraza hilo amewataka viongozi wengine wa kisiasa kuchukua mkondo wa wawili hao na kusitisha mdahalo wa uchaguzi wa mwaka 2020

Show More

Related Articles