HabariMilele FmSwahili

Matiangi : Serikali haikupokezwa agizo la mahakama kutaka Miguna kuingia nchini

Serikali haikupokezwa agizo la mahakama kutaka wakili Miguna Miguna kuingia nchini. Waziri wa usalama Dr. Fred Matiang’ anasema Miguna hakuwa katika himaya ya Kenya hivyo ni uongozi wa uwanja wa JKIA uliomsafirisha hadi Dubai. Matiang’ anayefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu usalama,anasisitiza miguna sio raia wa Kenya na juhudi za kumtaka kujaza stakabadhi za kupata uraia zimefeli.

Show More

Related Articles