HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Tapeli wa waheshimiwa Benson Chacha akamatwa nchini Tanzania

Mshukiwa wa utapeli Benson Chacha anayedaiwa kuwatapeli baadhi ya wabunge na maafisa wengine wa serikali hii leo amezuiliwa katika kituo cha polisi cha Muthaiga baada ya kukamatwa jana nchini Tanzania.
Chacha anatarajiwa kuwasilishwa kortini hapo kesho.
Chacha bado anasisitiza kuwa yeye hana hatia na hata kudai ana picha za  siri zinazoonyesha vitendo kati yake na baadhi ya wabunge wanawake wasiopungua 13 wanaodaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.

Show More

Related Articles