HabariMilele FmSwahili

Winnie Mandela afariki akiwa na umri wa miaka 81

Aliyekuwa mke wa rais wa zamani wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela Winnie Mandela amefariki. Bi.Mandela amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na msaidizi wake. Winnie alikuwa mstari wa mbele katika kupigania haki za raia wa Afrika Kusini dhidi ya dhulma za wakoloni.

Show More

Related Articles