HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kasisi asakwa Naivasha baada ya bangi kunaswa shambani mwake

Polisi  mjini  Naivasha  wanamtafuta  kiongozi  mmoja wa dini baada ya kuvamia shamba lake na kupata kuwa anakuza bangi yenye thamani ya mamilioni ya pesa.

Kiongozi huyo wa kanisa la Akorino hajulikani aliko kufikia sasa na inasemekana kuwa amekuwa muuzaji mkuu wa bangi katika mji wa Naivasha.

Polisi waliofanya msako huo pia walipata misokoto kadhaa ya bangi kwenye nyumba ya kiongozi huyo.

Show More

Related Articles