HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Tunamwangazia muigizaji limbukeni wa miaka 10, Ndela Mwiri

Sanaa ya uigizaji ni mojawapo wa sanaa ambayo inaendelea kushika mizizi hapa nchini huku baadhi ya wakenya wakiendelea kun’gaa kwenye nyanja za uigizaji kote duniani.

Na kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamwangazia Ndela Mwiri, mwanafunzi mwenye umri wa miaka kumi ambaye amejitosa kwenye sanaa hii ya uigizaji.

Show More

Related Articles