HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Shule ya msingi ya Kongor iliyoko Tiaty imefungwa na kuwa maduka

Mtazamaji ebu tafakari shule ya msingi kufungwa na kubadilishwa kuwa  soko la kuuza bidhaa mbali mbali na eneo la burudani huku zaidi ya wanafunzi mia tano wakilazimika kukaa nyumbani na kuchunga mifugo.

Ndiyo maisha ya wakazi wa wadi ya Tirioko shule msingi ya Kongor eneo bunge la Tiaty kaunti ya Baringo baada ya vita visivyokuwa na mwisho kukitiri eneo hilo na kusababisha walimu kukwepa shuleni na kuwacha eneo hilo bila walimu wa kuwasomesha wanafunzi tangu mwaka wa 2015 hadi sasa.

Angela Cheror anatujuza hali halisi katika  shule ya msingi ya kongor.

Show More

Related Articles

Check Also

Close