HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Rais Kenyatta ametaka asasi 3 za serikali kufanya kazi pamoja

Rais Uhuru Kenyatta sasa amezitaka taasisi za serikali kuweka kando tofauti zao na kufanyia wananchi wake kazi.

Akizungumza katika jiji kuu la Maputo nchini Msumbiji, Kenyatta amesema idara ya mahakama, bunge na vile vile urais zinafaa kuheshimiana wakati wa kutekeleza majukumu yake, akisema japo taasisi hizo ni huru ni sharti zifanye kazi kwa ushirikiano.

Show More

Related Articles