HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wakenya wamiminika makanisani kwa ibada na maombi 

Wakristo kote ulimwenguni wamesherehekea sikukuu ya pasaka kwa kuomba makanisani na kuhimiza wito wa amani na kusameheana.

Sherehe hiizo zilinoga humu nchini huku wakenya wengine wakisafiiri dakika za lala salama ili kuungana na familia zao mashambani .

Show More

Related Articles