HabariMilele FmSwahili

Rais na naibu wake wawatakia wakenya heri njema katika sikukuu ya Pasaka

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamewatakia wakenya heri njema katika sikukuu ya pasaka iliyoanza leo kukamilika Jumatatu. Kupitia ujumbe wa wawili hao, wamewataka wakenya kutumia sikukuu hii kutafakari uwiano na upendo miongoni mwao sawa na kudumisha amani

Show More

Related Articles