HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mti ulio na mchoro wa nyoka wadaiwa kusababisha vifo, Bungoma

Wakazi katika kijiji cha Mwomo eneo bunge la Bumula kaunti ya Bungoma wamejawa na hofu kutokana na kisa mti ulio na mchoro wa mwili wa nyoka uliokolea.
Mchoro huo sasa unadaiwa kuwa kiini cha visa vitano vya vifo katika boma moja katika kijiji hicho.
Aidha kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, tambiko la kuungo’a mti huo unaoaminika kupandwa takriban miaka 15 iliyopita lilifanywa na wazee wa kijiji hicho usiku wa kuamkia leo.

Show More

Related Articles