HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Trump amteua Seneta Kyle McCater kuwa balozi wa Marekani nchini

Nafasi ya Balozi wa Marekani nchini Robert Godec sasa itachukuliwa na Seneta wa jimbo la Illinoi Kyle Mccarter anayesubiri kuidhinishwa na bunge la seneti la Marekani.

Rais Donald Trump wa Marekani amefanya mabadiliko hayo kwa misingi kwamba Mccarter anaelewa fika historia ya humu nchini na haswa kwa kushiriki kutoa misaada.

Balozi Godec hata hivyo kwenye taarifa kwa vyumba vya habari ametilia pondo juhudi alizoweka katika kuboresha uhusiano baina ya nchi hizi mbili.

Show More

Related Articles

Check Also

Close