HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Miguna ahamishwa tena, anauguzwa hospitalini Dubai

Na huku hayo yakijiri katika mahakama kuu, muungano wa NASA, chama cha ODM na tume ya kutetea haki za kibinadamu, KNCHR, wameshtumu vikali jinsi serikali ilivyolichukulia suala zima la utata unaozingira kurejea nchini kwa mwanaharakati Miguna Miguna.

Kila mmoja ameishtumu serikali kwa kile kilichotajwa ukuikaji wa haki za kimsingi na kibinadamu za Miguna na kuonekana kukiuka pakubwa maagizo ya mahakama.

Show More

Related Articles