HabariMilele FmSwahili

Miguna aomba jamii ya kimataifa kumnusuru dhidi ya kuhangaishwa na serikali

Wakili Miguna Miguna ameomba jamii ya kimataifa kumnusuru dhidi ya kuhangaishwa na serikali. Akizungumza kutoka Dubai ambako alisafirishwa hiyo jana, Miguna anasema amepokonywa stakabadhi zake zote za usafiri. Ameongeza kuwa anahofia maisha yake kwani anaendelea kuandamwa na baadhi ya watu huko Dubai. Haya yanajiri familia yake ikiomba muingilio wa rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga kushinikiza kurejeshwa nchini Miguna.

Show More

Related Articles