BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Msanii DNA Ampoteza Mwanawe.

Msanii mkongwe kutoka humu nchini Dennis Kaggia maarufu kama  DNA anaomboleza kifo cha mwanawe Jamal Waweru.

Motto huyo mwenye umri wa miaka 9 wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Kitengela International ameaga baada ya kuzama katika kidimbwi cha kuogelea shuleni humo (swimming pool ) Jumatano jioni.

Jamal alitangazwa kufariki katika hospitali ya Nairobi Women’s alikokua akipokea matibabu,mwili wake baadae ulipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Shalom Funeral Home.

Jamal alikua mtoto wa DNA aliyezaa na  ex girlfriend yake   zama za kuvuma alipotoa kibao cha banjuka.

Twaitakia familia na marafiki ya DNA nguvu wakati huu mgumu na Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Amin.

Show More

Related Articles